Saa 9 zilizopita Sambaza habari hii Facebook Sambaza habari hii Twitter Sambaza habari hii Messenger Sambaza habari hii Email Mshirikishe mwenzako Haki miliki ya picha SCIENCE PHOTO LIBRARY Image caption Wasichana wengi wamekuwa hawaridhishwe na muonekano wa uke wao Wasichana nchini Uingereza wanahimizwa kutumia huduma ya mtandaoni ili kuwasaidia kuangalia iwapo maumbile ya uke wao ni ya kawaida. Huduma hiyo inapatikana kwenye mtandao wa masuala ya afya ya uzazi na ngono wa Brook, ambao unatoa mifano kwa kutumia video na kutoa ushauri kuhusu jinsi sehemu za siri za mwanamke hubadilika wakati anapobalehe au kuvunja ungo. Lengo kuu ni kuwahamasisha wasichana kujikubali walivyo. Watafiti wa afya waliotengeneza mtandao huo wamesema wana matumaini kwamba wasichana wataanza kujiamini zaidi na kuwafanya kutotaka ''upasuaji wa urembo'' wa sehemu zao siri. Upasuaji wa aina hiyo haustahili kufanyiwa kwa wasichana wenye umri chini ya...
Comments
Post a Comment